Topic 100 za Mafunzo ya HTML, CSS, na JavaScript kwa Ajili ya Blogu ya DANI CODING

0

 Topic 100 za Mafunzo ya HTML, CSS, na JavaScript kwa Ajili ya Blogu ya DANI CODING.


📘📘📘📘📘📘📘📘📘📘📘📘📘📘.


  • Topic 100 za Mafunzo ya HTML, CSS, na JavaScript kwa Ajili ya Blogu ya DANI CODING
HTML Topics

1. Utangulizi wa HTML: Kwanini Ni Muhimu?


2. Muundo wa Msingi wa HTML (HTML Boilerplate).


3. Tofauti Kati ya HTML4 na HTML5.


4. Kuelewa Tags, Elements, na Attributes.


5. Jinsi ya Kutengeneza Viungo (Hyperlinks) kwa Kutumia <a>.


6. Uundaji wa Jedwali kwa Kutumia <table>.


7. Kutengeneza Orodha Zilizopangwa na Zisizopangwa.


8. Maandishi ya Ndani: Inline vs Block Elements.


9. HTML Forms: Jinsi ya Kutengeneza Fomu Rahisi.


10. Kazi ya <div> na <span> katika HTML.


11. Jinsi ya Kuonyesha Picha kwa Kutumia <img>.


12. Kutumia <audio> na <video> katika HTML5.


13. Jinsi ya Kutumia Meta Tags kwa SEO.


14. Kutengeneza HTML Navigation Bars.


15. Semantics katika HTML: Tags kama <header> na <footer>.


16. Kuelewa <iframe> na Matumizi Yake.


17. HTML Entities: Jinsi ya Kuonyesha Alama Maalum.


18. Kutumia <form> kwa Data Input.


19. Jinsi ya Kuongeza Favicon kwenye Tovuti.


20. Kutengeneza HTML Modal Windows.



CSS Topics

21. Utangulizi wa CSS: Kwanini Unahitajika?


22. Tofauti Kati ya CSS Inline, Internal, na External.


23. Kuelewa CSS Selectors.


24. Jinsi ya Kutumia CSS Classes na IDs.


25. Kuweka Rangi za Background kwa Kutumia CSS.


26. Font Styles: Kutumia Google Fonts.


27. Kutumia Flexbox kwa Layout ya Ukurasa.


28. Kutengeneza Grid Layout kwa CSS.


29. Jinsi ya Kutumia CSS Pseudo-Classes.


30. CSS Transitions na Animations.


31. CSS Box Model: Padding, Border, na Margin.


32. Kuelewa Positioning katika CSS: Static, Relative, Absolute, Fixed.


33. CSS Media Queries kwa Responsive Design.


34. Jinsi ya Kuficha Maudhui kwa Kutumia display na visibility.


35. Kutengeneza Buttons kwa CSS: Hover Effects.


36. Jinsi ya Kutumia CSS Variables.


37. CSS z-index na Layering.


38. Kutengeneza CSS Dropdown Menus.


39. Kutumia CSS Clip-Path kwa Michoro ya Kipekee.


40. Kurekebisha Layout za Tovuti za Kijamii kwa CSS.



JavaScript Topics

41. Utangulizi wa JavaScript: Umuhimu wake.


42. Jinsi ya Kuandika JavaScript ya Kwanza.


43. Tofauti Kati ya var, let, na const.


44. Hoisting katika JavaScript.


45. JavaScript Data Types.


46. Kujifunza JavaScript Functions.


47. Kuelewa JavaScript Arrays.


48. Looping: For, While, na ForEach.


49. DOM Manipulation: Kazi ya getElementById na querySelector.


50. Jinsi ya Kufanya Event Handling katika JavaScript.


51. JavaScript Objects: Kazi ya Key-Value Pairs.


52. Jinsi ya Kutumia JSON katika JavaScript.


53. JavaScript Template Literals.


54. Arrow Functions vs Traditional Functions.


55. Kuelewa Scope katika JavaScript.


56. Closures katika JavaScript.


57. JavaScript Promises na Async/Await.


58. Matumizi ya JavaScript Fetch API.


59. Tofauti Kati ya == na ===.


60. JavaScript Error Handling: Try...Catch.



HTML + CSS Topics

61. Kutengeneza Landing Page kwa HTML na CSS.


62. Kutengeneza Responsive Forms.


63. Kubuni Portfolio Website kwa HTML na CSS.


64. Kutengeneza Navbar kwa HTML na CSS.


65. Kuweka Icon Fonts (Font Awesome).


66. Kutengeneza Image Sliders kwa HTML na CSS.


67. Jinsi ya Kutengeneza Footer ya Kipekee.


68. Kutengeneza Timeline Layout kwa CSS.


69. Jinsi ya Kutumia CSS Transitions kwa Hover Effects.


70. Kutengeneza Sticky Headers na CSS.



HTML + JavaScript Topics

71. Jinsi ya Kuonyesha Alerts katika HTML Forms.


72. Kutengeneza HTML Forms Zinazotumia JavaScript Validation.


73. Kutengeneza Calculator Rahisi.


74. Jinsi ya Kutengeneza Countdown Timer.


75. Kutengeneza Dynamic Lists kwa JavaScript.


76. Kutengeneza Modals Zinazofunguka kwa JavaScript.


77. Kutumia JavaScript na Local Storage.


78. Kutengeneza Toggle Switch ya Dark Mode.


79. Kurekebisha HTML Content kwa JavaScript.


80. Kutengeneza Quiz App Rahisi kwa HTML na JavaScript.



CSS + JavaScript Topics

81. Kutengeneza Animations Zinazodhibitiwa na JavaScript.


82. Kutengeneza Lightbox kwa CSS na JavaScript.


83. Kutengeneza Carousel kwa CSS na JavaScript.


84. Kutengeneza CSS Progress Bars Zinazojazwa na JavaScript.


85. Kutengeneza Accordion Menu.


86. Kutengeneza Tooltip Zinazofanya Kazi na JavaScript.


87. Kutengeneza Scroll Animations.


88. Kutengeneza Parallax Effects kwa CSS na JavaScript.


89. Kutengeneza Loading Spinners.


90. Kutengeneza Custom Alerts na Popups.



Advanced Topics

91. Jinsi ya Kutumia Sass katika CSS.


92. HTML Data Attributes na Matumizi Yake na JavaScript.


93. Kutengeneza Progressive Web Apps.


94. Kuelewa HTML5 APIs.


95. Jinsi ya Kutumia Chart.js kwa Graphs.


96. Kubuni Websites Zinazotumia JavaScript Frameworks (React/Vue/Angular).


97. Kujifunza Tailwind CSS na Bootstrap.


98. Kujifunza Advanced Debugging Techniques.


99. Kujifunza Webpack na Bundling.


100. Kuingiza Map APIs (Google Maps, Leaflet).


✓HITIMISHO.

Kwaheri kwa sasa hizi ni topic ambazo tunafundisha hapa ndani ya DANI CODING, 
Hivyo kaa tayari kwaajili ya mafunzo zaidi hapa.


Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)